Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Wakuu hua nikitumia condom kwenye ku sex bao la kwanza linatoka fresh lakini kuanzia la 2 na kuendelea ni kazi naweza nikabadili ata 3 lakini si mwagi hadi demu wangu analalamika nifanyeje wakuu