Nachelewa kupata bao la pili

Nachelewa kupata bao la pili

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
572
Reaction score
161
Habari zenu na heshima kwenu wana JF,

Leo nimeona niweke wazi tatizo langu baada ya kusumbuka kwa mda mrefu bila kupata suluhisho katika idara ya mahanjumati.Nina tatizo la mda mrefu la kuchelewa kupata bao la pili licha ya kulihangaikia kwa mda mrefu. Lile la kwanza almaarufu la kiherehere halinichukui mda mrefu kulipata na kupumzika.

Baada ya story mbili tatu tunapoingia kwenye gemu ya pili ndipo shuuli hassa inapokuwa shuuli maana natumia maarifa yangu yote na style zote lakini sifanikiwi kuwatoa wadhungu mpaka tunachoka na kuamua kupumzika uku jasho likitumwagika.Baada ya kupumzika na kuingia tena ulingoni tunahangaika kwa mda mrefu ndo wazungu wanakuja.

Huwa inatokea mara nyingine kupuzmika hata mara mbili au kugairisha gem kabisa.Na hili tatizo sio kwa mwanamke mmoja tu nilokutana nae, nilitafta mwanamke mwingine kujua kama tatizo lipo kwa mwanamke wa kwanza pengine ana maumbile yasiyo ya kawaida lakini bado hali ikawa ile ile mpaka huyu mwanamke wa pili akidhani labda natumia Viagra Je, naweza kuwa na tatizo/matatizo gani? Na je ni kwangu tu au kuna baadhi ya wanaume wenzangu waako hivi.

Nawasilisha
 
Yani kila uzi ninaoufungua kwenye jukwaa hili ni kuhusu "MITOMBANO"tuuuuu khaaa!!!!

Tehe tehe..
Kwani hujui upo jukwaa gani?
Uku siasa hazina nafasi. Uku mambo ya mahabba niue tu
 
Kama unachukua zaidi ya dakika 30 na bado bao halitoki utakua na matatizo,mimi nadhani ni matatizo ya kisaikolojia,ulishajiwekea akilini kwako kua bao la pili huchelewa basi imekaa kichwani kwako.

Uahauri wangu,jaribu kutulia na utulize akili iwaze jambo moja tu wakati wa kujamiiana,pia uwe unajiandaa na kuiandaa akili yako kuhusu jambo unalolifanya

kila kitu kinahitaji maandalizi na utulivu wa akili vinginevyoutajikuta unafanya chini ya kiwango maana kwa huo muda unaouchukua kupata bao la pili inaonekana hata mpenzi wako hafurahii mchezo maana unageuka kua kero
 
Kichwa Ndio Mtu;

Sure ndugu. Bibie anachokaga kabisa na mara nyingi namfosi tu kuwa tuendelee naweza kupiz lkn mambo yanabakia vile vile. Hii kitu inaniumiza sana akili, huwa nnapoanza la pili siwazagi km itakuja kutokea kama jana na juzi huwa naamini leo mambo yatabadilika lakini wapi.
 
Last edited by a moderator:
Sure ndugu. Bibie anachokaga kabisa na mara nyingi namfosi tu kuwa tuendelee naweza kupiz lkn mambo yanabakia vile vile..
Hii kitu inaniumiza sana akili, huwa nnapoanza la pili siwazagi km itakuja kutokea km jana na juzi huwa naamini leo mambo yatabadilika lkn waaaapiiiiii..

Waone madaktari mkuu
 
Hata n mimi nko hvo, ila cjafkria ka tatzo sn, ingawa somtym inaboa pale unapomuona mwenzako anaomba pooh n kjasho knamtoka! afu we hu feel hata ktu
 
Tukirudisha jando na unyago ingisaidia sana...mwanaume kamili huwezi kuja kuandika na kuuliza haya
 
Average unatakiwa uchukue kari ya 15-20 minutes.

Ukizidi au kupungua ni tatizo.

Kamwone daktari
 
Tukirudisha jando na unyago ingisaidia sana...mwanaume kamili huwezi kuja kuandika na kuuliza haya

Na mwanamme huwa hajitangazi, umeona ID name za member wengi tu hapa JF. Wengi wao hakuna alieandika somebody mwanamme au somebody kidume. Napata shida na kujitangaza kwako.

Haujiamini au unaona ungejiandika siafu tu jamii isingekuelewa?
 
Hilo ni tatizo ila linatibika nenda hospitali hilo ni tatizo la homoni pia inaonekana mwenzio hakuandai ipasavyo
 
Tatizo liko hapo kwenye rangi. Acheni kuhangaika badala yake mfanye mapenzi.

Mkuu maana ya kuhangaika ni kwamba ktk mazingira ya kawaida ilishindikana.
 
Back
Top Bottom