Utatapa tapa sana..ila tatizo lako unalijua na ujitahidi ulisolve..unachofanya hapa ni reflection tu..ww tulia, tafakari na usolve tatizo lako acha kuruka ruka..maana naona unaniquote mara mbili mbiliNa mwanamme huwa hajitangazi, umeona ID name za member wengi tu hapa JF. Wengi wao hakuna alieandika somebody mwanamme au somebody kidume. Napata shida na kujitangaza kwako. Haujiamini au unaona ungejiandika siafu tu jamii isingekuelewa?