Utatapa tapa sana..ila tatizo lako unalijua na ujitahidi ulisolve..unachofanya hapa ni reflection tu..ww tulia, tafakari na usolve tatizo lako acha kuruka ruka..maana naona unaniquote mara mbili mbiliNa mwanamme huwa hajitangazi, umeona ID name za member wengi tu hapa JF. Wengi wao hakuna alieandika somebody mwanamme au somebody kidume. Napata shida na kujitangaza kwako. Haujiamini au unaona ungejiandika siafu tu jamii isingekuelewa?
Utatapa tapa sana..ila tatizo lako unalijua na ujitahidi ulisolve..unachofanya hapa ni reflection tu..ww tulia, tafakari na usolve tatizo lako acha kuruka ruka..maana naona unaniquote mara mbili mbili
Asee inafikia kipindi mpk inakera. Dah...unajua kuboa? Inaboa ile mbaya
Hili huwa nasema siku zote..kama ulikuwa hutaki wachangiaji hasa wenye mawazo tofauti..usinge leta hapa..ungetafuta masela uwahadithie wakupigie makofi..kwa kua umeleta hapa lazima utapata michango tofauti..note thatSikukwita uje kuchangia kwenye post yangu.
Mkuu ni kawaida mbona? Mimi ukiacha bao la kwanza la pili linachelewa sana....kuna muda hadi unamwonea huruma mtoto wa watu coz kama unatumia ndom mpk inakauka mafuta kimtindo na dem kulalamika kuwa unamchubua na kitu hakitoki...mnaweza airisha hadi siku nyingine kutegemea na uvumilivu wa mikiki kwa dem husika.
Sidhani kama ni tatizo mkuu.
Tukirudisha jando na unyago ingisaidia sana...mwanaume kamili huwezi kuja kuandika na kuuliza haya
Kwanini mkuu? Mbona swali la kawaida la kiume na anahitaji kusaidiwa? Ilimradi hajatukana wala kuviolate rules za jf mkuu.
Sure ndugu. Bibie anachokaga kabisa na mara nyingi namfosi tu kuwa tuendelee naweza kupiz lkn mambo yanabakia vile vile..
Hii kitu inaniumiza sana akili, huwa nnapoanza la pili siwazagi km itakuja kutokea km jana na juzi huwa naamini leo mambo yatabadilika lkn waaaapiiiiii..
Mkuu ni kawaida mbona? Mimi ukiacha bao la kwanza la pili linachelewa sana....kuna muda hadi unamwonea huruma mtoto wa watu coz kama unatumia ndom mpk inakauka mafuta kimtindo na dem kulalamika kuwa unamchubua na kitu hakitoki...mnaweza airisha hadi siku nyingine kutegemea na uvumilivu wa mikiki kwa dem husika.
Sidhani kama ni tatizo mkuu.