Kwa siku unakula Milo mingapi?usije Kuwa unapiga pasi ndefu,pia huli ukashiba,pia inawezekana unakula vyakula vya aina moja.mfano,
Mlo wa asubuhi:chai ya rangi vitumbua viwili
Mlo wa mchana:ugali(sembe) na maharage
Mlo wa jioni:wali maharage
Mpaka hapo chakula cha asubuhi+mchana+jioni vinafanana.
Hapo hakuna mboga majani,wala tunda,na mazoezi hayafanywi,na maji hunywi ya kutosha!...
Kiufupi kula chakula bora chenye mchanganyiko wa viini lishe mbalimbali na si bora chakula,kunywa MAJI ya kutosha,Fanya mazoezi.
Pia kuhusu punyeto inaweza kuwa umeathirika kisaikolojia waone wataalamu wa afya,wakushauri mana masaa mawili wanawake watakukimbia.