Nachelewa kupiga bao

Nachelewa kupiga bao

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
Jamani wana JF naombeni msaada kwani natumia mda mrefu sana kupiga bao la kwanza ninapo sex,huwa masaa mawili au moja na nusu.
Hii inatokana na nin!!?
 
Kama unae msugua anaridhika basi endelea kupiga hayo masaa usiwe na hofu, ila kama huo msuguo ni moto kiasi cha kuleta harufu ya mshikaki ktk K ya demu wako,basi muone mmasai apunguse kasi.
 
yeye anaridhika ila wakat mwingne anataka kusepa
 
lakin nilkuwa mpgaji mzuri wa punyeto niliacha miezi kadhaa aliyopita
 
lakin nilkuwa mpgaji mzuri wa punyeto niliacha miezi kadhaa iliyopita
 
mkuu masaa mawili tu bado umemkunja tu na hamna bao hata moja?kamwone daktari huo mda mrefu sana
 
Kende Zikipungukiwa Shahawa, Hili Tatizo Lazima Likupate!..Kula Karanga Na Korosho Kwa Wingi!
 
mkuu masaa mawili tu bado umemkunja tu na hamna bao hata moja?kamwone daktari huo mda mrefu sana

kwahiyo ni tatizo au!!
lakin nikimaliza nakuwa na nguvu ya kuendelea la pil
 
Bao linatakiwa lifungwe kipindi unahitaji mtoto tu.

Kama unatumia bao kama sehemu ya starehe basi jua umekwisha, mapenzi sio wingi wa mabao unayopiga mwanaume, ni wingi wa mabao anayo piga mwanamke (fanya ufanyavyo, mwanamke apige bao).

Usipo mridhisha mwanamke, hawezi kukuridhisha kamwe na utakuwa mwanzo wa yeye kuchepuka.
 
yeye huwa namchezea anapga bao kabla hata sijaingiza
 
Back
Top Bottom