Hapo labda vitu viwili tu ndo sizingatii sana mazoezi na maji mengi.Fanya mazoezi
Kunywa maji mengi
Pumzika masaa 8
Kula tangawizi na punje ya kitunguu swaumu
Baada ya wiki 1 utapona, ukishapona nitakupa lipa namba yangu ili ufanye malipo
Hilo ni tatizo mazoezi muhimu Kwa kila mwanaumeHapo labda vitu viwili tu ndo sizingatii sana mazoezi na maji mengi.
Tatizo mwamba anakojoa shahawa tone 💧Mkuu, fanya tendo la ndoa/kudinyana kwa mwendo wa slow but sure, usitake kwenda haraka kama Usain Bolt maana utaumia bure.
Kumbuka uke haukomolewi kwa uume.
Kwamba ni chache sana, siyo?Tatizo mwamba anakojoa shahawa tone 💧
Maana yangu sio kwamba nachoka kwa kwua naikamia, hapana, ni baada ya ejaculation haijalishi nimetumia speed Gani.Mkuu, fanya tendo la ndoa/kudinyana kwa mwendo wa slow but sure, usitake kwenda haraka kama Usain Bolt maana utaumia bure.
Kumbuka uke haukomolewi kwa uume.
NdiyoKwamba ni chache sana, siyo?
Dah, pole sana. Ngoja wataalamu waje wakuoe mwongozo.Maana yangu sio kwamba nachoka kwa kua naikamia hapana ni baada ya ejaculation haijalishi nimetumia speed Gani,inshort nikwamba nimechoka sana.
Kuna jamaa aliniambia mbegu za maboga na karanga husaidia kuongeza sperm count. Hebu jaribu.Ndiyo
Kitambi kuja ni simple but kukiondosha ndio kazi mkuu.Kwa nini unabakisha mavi tumboni?
Taja tu mkuu atakae amini sawa atake ona ni old traditions atajua mwenyewe.Mkuu,
Naomba nikurekebishe kidogo. Mtu wa miaka 36 sio kijana.
Anyway kuna dawa za mitishamba ukinywa na maji ya vuguvugu ndani ya week moja, maumivu ya mgongo, kiuno, uchovu hutayasikia tena, ila kwa vile humu kila mtu haamini mitishamba bali zingatia ushauri wa wataalamu wa afya.
Ka mtu kanalalana bila kula chakula cha kutosha alafu kanategemea baada ya ejaculation kasichoke kweli?
Yes, tumuombeeKwamba ni chache sana, siyo?