Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

mmmh we nae kua basi usikue mwili tu unatakiwa ukue akili kadri umri unavyoongeka akili nayo iongezeke mtu ushaambiwa nina mke haya hiyo punyeto napigaje sasa.
hilo mbona kama limekuuma sana
 
Fanya mazoezi
Kula mlo kamili
Mbegu za maboga
Mwani
Viwe sehemu ya maisha yako

Ukipona niambie nikupe lipa namba kwa ajili ya sadaka
 
Sukari hiyo.
Jiandae kuchapiwa hiyo papuchi ya mkeo na Gen Z.
 
Tumia bamia au kwa Lugha ya meli wanaita Okra.

Tumia kwa siku 3 au 4 kila asubuhi baada ya miezi 3 njoo na ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…