Nachubuka mapajani nikitembea

Nachubuka mapajani nikitembea

pondiboy

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
81
Reaction score
28
wakuu nimekuwa na hii shida nikitembea umbali mrefu napata michubuko mapajani. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida, ninabadili boxer kila siku. je nini kinaweza kikaniondolea hili tatizo!?
 
Anza kutembea kijoti, na pia punguza kula vyakula vya kike mfano chips.
 
Kula dona achana na chips ivi unaweza kugegeda kwanza
 
Fanya mazoezi ya squats mtoto wa kiume halalamiki mapaja kuuma bali kiuno
 
hahaaaa!! nmecheka sanaaa, hili tatizo liko kwa wadada sana. sasa nashangaa na ww unalo!!
acja kula vyakula vya kike ww, na uzingatie mazoez.
nna waswas na ww, hv unaweza kugegeda kwel?
 
wakuu nimekuwa na hii shida nikitembea umbali mrefu napata michubuko mapajani. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida, ninabadili boxer kila siku. je nini kinaweza kikaniondolea hili tatizo!?

mkuu shape ya Papai , nakushauri paka PILIPILI kwenye mapaja
kabla ya kuanza kutembea , hiyo itasaidia kuterezesha mapaja.
 
Last edited by a moderator:
Hili tatizo liko kwa wanawake,sasa mtoto wa kiume inakuaje?,punguza kula mayai na uache kutumia simu za kupangusa
 
paka ky jelly utateleza kama kambale
 
Which means una hips!!!!!!
Mazoezi baba yanahusika na ukicheki BMI utakuwa overweight tuu mwili umeanza kukulemea.
Au kama VIP piga tight
 
Hiyo boxer yako ukiivaa ipandishe mpaka iguse ukuta wa juu wa karibu na mqundu, kusiwe na nafasi ya mapaja ya ndani kukusana!
 
wakuu nimekuwa na hii shida nikitembea umbali mrefu napata michubuko mapajani. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida, ninabadili boxer kila siku. je nini kinaweza kikaniondolea hili tatizo!?

Unavyo taka kwnda kwnywe mzunguko yko kabla ya kuanza kutembea hakksha unaanza kupga hatua na mguu wa kulia km utazngatia hili utanipa majbu tatizo lako limekwsha bado tyu kumalizika full stop
 
wakuu nimekuwa na hii shida nikitembea umbali mrefu napata michubuko mapajani. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida, ninabadili boxer kila siku. je nini kinaweza kikaniondolea hili tatizo!?

Vaa boksa kubwa zisizobana na uvae za cotton..waliokushauri ufanye mazoezi pia wako sahihi..inaonekana ni mnene maeneo ya mapaja kiasi ukitembea yanagusana. Ni tatizo la kawaida tu wengine wana mafuta tumboni ila ww inaonekana yapo maeneo hayo
 
It's either umeumbwa una matege na uzito umeongezeka (tofautisha uzito kuongezeka na unene) Fanya mazoezi kama ulivyoshauriwa na pia punguza vitu vyakula vya wanga, bia , nyama na ufanye mazoezi
 
Back
Top Bottom