Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vaa boksa kubwa zisizobana na uvae za cotton..waliokushauri ufanye mazoezi pia wako sahihi..inaonekana ni mnene maeneo ya mapaja kiasi ukitembea yanagusana. Ni tatizo la kawaida tu wengine wana mafuta tumboni ila ww inaonekana yapo maeneo hayo
paka ky jelly utateleza kama kambale
paka ky jelly utateleza kama kambale
Hahaaa,
Boss, vaa skin tight ndani.
wakuu nimekuwa na hii shida nikitembea umbali mrefu napata michubuko mapajani. Mimi sio mnene nina mwili wa kawaida, ninabadili boxer kila siku. je nini kinaweza kikaniondolea hili tatizo!?