HumbleBoy98
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 387
- 396
Kweli watu hatufanani.Yan ulivyo itaja tuu, najihisi tumbo limejaaa,hakuna kitu sipend kama iyo kabich hata niwe na njaa ya kufa sikulii hakiiii,, alafu kuna izo za kuitwa kunde sasa na choroko uuuwi n kisanga kabisaa nikihis harufu tuu kichefuchefu tayar