Hii kitu inatokea mara nyingi kwa michepuko au wasichana wanaonimendea. Mke wangu huwa haniiti wala hajawahi kuniita baby. Nikimkuna sana ataishia kuniita mpenzi,huby, dear nk.
Kwa kweli najisikia vibaya sana kuitwa baby,huwa naona kama ni maigizo fulani hivi na kutaka kutapeliana.
Mwenyewe pia sipendi; au kuwa na kademu kanakuwa na kiherehere kutaka kushikanashikana sijui vipi, au kutumatuma meseji na kupiga simu kila saa, Sipendi!