Nachukia kuitwa-itwa baby

Nachukia kuitwa-itwa baby

Mm sipendi kuitana hayo majina romantic kbsa napenda kuita jina la mtu halisi hata mm napenda kuita jina langu halisi nafurahi pale napoitwa we flan ,, Mordred
 
Baby maana yake akilia kitu kwako unaweza kumtimizia pia linatumika kama kilainishi
Hivo yakwepe sana maneno kama hayo.
Lakini ukiwa umeoa hupaswi kuwa na hawala,michepuko maana siyo dili,n.k
 
Na kuitwa "Dady"( hii kwa wanangu). Sipendagi sana hii kitu.Tatizo ukolon wa mzee wangu uliniathir sana
 
Back
Top Bottom