Nachukia kuitwa-itwa baby

Babe:
A word you can use when you are talking to someone you love such as your wife, husband, partner, etc.

Babe:
A sexually attractive young person

Baby:
A word you can use when you are talking to someone you love such as your wife, husband, partner, etc.

Baby:
A very young child, especially one that has not yet begun to walk or talk:




Cc: mahondaw
 
Baki na mkeo anaekuita unavyo taka.
 
Labda bado hujaoa.
Oa ili mpate baby halisi.
Kama uko kwenye ndoa /mahusiano hakikisha mnapata baby ili jina uitwalo liishe.
 
Waambie hao michepuko wewe si mtoto waache Mara moja.
Wakiendelea waambie hutawaungia bundle
 
Ni wazungu waliyaleta hayo mkuu kama dini tu ilivyoletwa nao
 
Mwanaume kuitwa baby huwa ni wizi wizi tu huo, yani ni njia ya wanawake kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu.
 
Ogopa matapeli,, Nyumba hii haiuzwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…