Usikereke Mkuu hapo fanani anakuwa anashirikisha hadhira....Yaani hakuna jambo linanikera kama kulazimishwa kunyanyua mikono.Eti mikono juu,mikono juu.Mara piga kelele!
Eti niimbe au nisiimbe hahayaani mtu unalipa kiingilio,
ukifika unaanza kupewa adhabu ya kuinua mikono juu Na kidole cha mwisho.
badala ya wewe uimbiwe, mic inageuziwa kwako wewe ndo uimbe.
msanii anapayuka tuu haupati Ile vibe ya mziki,
hatulii stejini, anakimbiakimbia Tu huku Na kule bila kuwa Na pattern ya mziki
mwisho wa siku unaanza kuulizwa maswali like "niimbe au nisiimbe?"
Ni Mara Mia waimbe playback Ili ilete Ile rhythm.
very stupid, hawa waandaaji Na wasanij Wao wamesahau kuwa hizo nyimbo washabiki wanazijua vizuri and kwenda kuwaona huko Ni kwamba Kuna kitu extra wanakitaka, Wao wanakimbiakimbia Tu stejini, very boring
ukitaka kwenda nao sawa labda ulewe kwanza
Sasa mkuu wakishatupiana makopo ndio kiiu yako ya muziki mzuri unakuwa umeshaikata au?Mm naona kupwaya kwa shoo ya jana labda coz domo hakuwepo maana angekuwepo yale matimu timu yangeleta mwamko kidogo leo tungesikia mara huyu kaaltupiwa makopoa Mara huyu kapigiwa buuuu
Inaboa sana...hawajui tu....imba vzr ...onyesha ubunifu ....watu watanyanyua hyo mikono bila hata kuwaambia wapige kelele..Yaani hakuna jambo linanikera kama kulazimishwa kunyanyua mikono.Eti mikono juu,mikono juu.Mara piga kelele!
Hata jana ni kinyesi kitupu. Kila aingiae ni oyyoo nyingi na mikono juu huku msani akizunguka stejini mwendo ambao ukiuunganisha unamfikisha kariakoo na kurudi, na haimbi muziki kaachia waimbe mashabiki, wengine wakageuza ukumbi wa kujitambulisha kuwa wao ni xxl, watu wamekuja ku enjoy nyie mnapoteza muda kuleta ubishoo!!!Hata ka barnaba kanajitahidi tu ila hao wengineo ni aibu tupu!
Jana nilijitahidi kupiga kodo mubashara lakini nguvu zangu za kustahmili ziliishia kwa dogo janja nikaamua kumwaga usingizi sasa sijui waliohudhuria tena wamesimama kama wacheza kwata huku kila msanii aingiaye anakuwa kamanda wao akiwaamrisha hiki na kile walikuwa na hali gani?