Nachukia sana kuitwa kolo

we ni mjinga sana , kwanza jina utopolo huko kwenu mlijipa wenyewe, pili kolo kwa kiswahili sanifu ni MJOMBA tatu kwa mujibu wa sope albino zeruzeru kolo inamaanisha makolokolo ya jezi sasa sijui ni jezi iliyojaa makorokoro nyingine imemuweka hadi muuaji wa polisi bwana hamza
 
Utopolo ni la Ombaomba fc.
 
Kwa taarifa yako 'Kolo' ni jina lenye sifa nzuri.
Chanzo cha hilo jina ni maneno ya Haji alipokuwa akiiponda jezi ya Simba ya msimu uliopita - Kwamba ina makolokolo mengi.

Kiuhalisia Jezi ikiwa na makolokolo mengi tafsiri yake hiyo Timu inaingiza mtonyo mwingi toka kwa wadhamini wake ambao lazima watangazwe kwenye hiyo jezi. Hivyo nakushauri furahia kuitwa Kolo hiko ni kielelezo cha timu nyako kuwa na mvuto kibiashara.

l
 
Inaumiza sana kuitwa kolo mikia utelembwe inatuumiza sisi mashabiki
 
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana
Muache kutuita kolo

Viongozi mjiuzuru wote.
Naona unajichetuq mwenywe.. kwanza wewe sio shabiki ww simba... Na ukweli Yanga kutuita sisi mashabiki wa simba kolo.. wala haituumi kbsa.. hakuna mshabiki wa simba eti anaumia kuitwa kolo kwa sabbu tunajua halidumu..

Ila uto hlo linadumu
 
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana
Muache kutuita kolo

Viongozi mjiuzuru wote.
Kama huwezi utani, achana nao fanya mambo mengine, simba na yanga ni watani wa jadi.
 
Sema unasikia vibaya kuitwa Utopolo sio kolo. Sie tunaofahamu maana ya kolo Wala halitusumbui!

Tumeanza kuimba toka wadogo ngomani/mdundiko/gombesugu

¶¶π kolo huyo kolo gani? Kidogo dogo¶π

Hapo kuna mwamba anapuliza bomba kwenye gombesugu tunakatiza mtaa mpaka mtaa kwa wajomba,mashangazi,dada zake mwali n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…