kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga Mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana.
Muache kutuita kolo
Viongozi mjiuzuru wote.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana.
Muache kutuita kolo
Viongozi mjiuzuru wote.