Nachukia sana kuitwa kolo

Nachukia sana kuitwa kolo

Basi sawa utabaki hivohivyo kinyeo fc hilo kolo tuachie
 
Kwa taarifa yako 'Kolo' ni jina lenye sifa nzuri.
Chanzo cha hilo jina ni maneno ya Haji alipokuwa akiiponda jezi ya Simba ya msimu uliopita - Kwamba ina makolokolo mengi.

Kiuhalisia Jezi ikiwa na makolokolo mengi tafsiri yake hiyo Timu inaingiza mtonyo mwingi toka kwa wadhamini wake ambao lazima watangazwe kwenye hiyo jezi. Hivyo nakushauri furahia kuitwa Kolo hiko ni kielelezo cha timu nyako kuwa na mvuto kibiashara.

l
Wewe unamdanganya mwenzio kama mtoto kwa pipi ili alale! mwenzio anajua ukweli kuwa Kolo si neno zuri ila we unamzuga tu ujue hadi kaweka uzi hapa keshajiridhisha! keshabukua!

Makolokolo au Makolo au Kolo maana yake ni madudu mengi yasiyo na tija au matakataka mf wa Kolo FC ni kama vile kichaa aliebeba mafurushi ya uchafu anazunguka nayo.Nyie wazima mnamshangaa na yeye pia anawashangaa nyinyI!
Ona sasa !
Ukiangalia uongozi wa Kolo FC ni butu hauna malengo tena wa Demu
Wachezaji wa Kolo Fc ni butu bila msaada wa penati na magoli ya offside hawafungi
Mashabiki wa Kolo FC hawajitambui ni oya oya timu inafungwa na Yanga kila mechi wao badala ya kuweka mezani agenda za uozo wa timu wao wanasema Yanga inashinda nje ya uwanja wakati sisi sote tunaangalia Azam TV jinsi Mayele anavyowapasua bila huruma
 
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana
Muache kutuita kolo

Viongozi mjiuzuru wote.
Kinye Fc una taabu sana
 
unamdanganya kama mtoto kwa pipi! mwenzio anajua ukweli kuwa si neno zuri we unamzuga tu ujue hadi kaweka uzi hapa keshajiridhisha!
Makolokolo au Makolo au Kolo ni madudu mengi yasiyo na tija mf wa Kolo FC ni kama kichaa aliebeba mafurushi ya uchafu.
Ukiangalia uongozi wa Kolo FC ni butu wa Demu
Wachezaji ni butu bila msaada wa penati na magoli ya offside hawafungi
Mashabiki wa Kolo FC ni oya oya timu inafungwa na Yanga kila mechi wao badala ya kuweka mezani agenda za uozo wa timu wao wanasema Yanga inashinda nje ya uwanja wakati sisi sote tunaangalia Azam TV jinsi Mayele anavyowapasua bila huruma
Kwa tafsiri hiyo uliyoizungumzia wewe ipo kwenye Jezi ya Yanga.

Kumejaa picha za Watu, Sanamu ya Askari, Madaraja na Nyumba za makumbusho. Hizo picha zote zimewekwa bure, hao wahusika wa hizo picha wala hawalipii hayo matangazo

Na kuhusu ubutu wa kufunga Penarti tayari tumeshamuona huyo Mayele alivyokosa Penarti kwenye mechi iliyopita ni uharo mtupu.
 
Kwa taarifa yako 'Kolo' ni jina lenye sifa nzuri.
Chanzo cha hilo jina ni maneno ya Haji alipokuwa akiiponda jezi ya Simba ya msimu uliopita - Kwamba ina makolokolo mengi.

Kiuhalisia Jezi ikiwa na makolokolo mengi tafsiri yake hiyo Timu inaingiza mtonyo mwingi toka kwa wadhamini wake ambao lazima watangazwe kwenye hiyo jezi. Hivyo nakushauri furahia kuitwa Kolo hiko ni kielelezo cha timu nyako kuwa na mvuto kibiashara.

l
Kolo ni kifupi kirefu chake ni makolo
 
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana
Muache kutuita kolo

Viongozi mjiuzuru wote.
UTO salamu zitakufikia very sooon
 
Hakuna jina baya kama utopolo walah ni baya lina dharau ndani yake yani ukiliita kama uchafu fulani, sasa ukichanganya na kinyesi mara vyura mara yeboyebo khaaaa inaboaa.
 
Wewe unamdanganya mwenzio kama mtoto kwa pipi ili alale! mwenzio anajua ukweli kuwa Kolo si neno zuri ila we unamzuga tu ujue hadi kaweka uzi hapa keshajiridhisha! keshabukua!

Makolokolo au Makolo au Kolo maana yake ni madudu mengi yasiyo na tija au matakataka mf wa Kolo FC ni kama vile kichaa aliebeba mafurushi ya uchafu anazunguka nayo.Nyie wazima mnamshangaa na yeye pia anawashangaa nyinyI!
Ona sasa !
Ukiangalia uongozi wa Kolo FC ni butu hauna malengo tena wa Demu
Wachezaji wa Kolo Fc ni butu bila msaada wa penati na magoli ya offside hawafungi
Mashabiki wa Kolo FC hawajitambui ni oya oya timu inafungwa na Yanga kila mechi wao badala ya kuweka mezani agenda za uozo wa timu wao wanasema Yanga inashinda nje ya uwanja wakati sisi sote tunaangalia Azam TV jinsi Mayele anavyowapasua bila huruma
Hiki ndicho kinachonoumiza zaidi
 
Hamna kitu na chukia kama kuitwa kolo tena wakati ambao yanga wametuzidi kila kitu na mbaya zaidi awe kafunga mayele.
Nikiona yanga wanavyotetema inaniumiza sana
Muache kutuita kolo

Viongozi mjiuzuru wote.
Basi hamia kwa utopolo uwe unaitwa UTOO
 
Kolo wanateseka na bei ya vifurushi na bado wanateseka na Timu Yao.. Shame on you
 
Pole mkuu kama ilivyo kwa utopolo pia makolo ndo lishazoeleka.
 
UNACHUKIA KUITWA MJOMBA?
kolo bakita.JPG
 
Thread Ya Kipuuzi Sana
Yanga Haitaweza, Haiwezi Kuizidi Simba

Record Za Simba Zipo Mbali Na Dunia Inajua
 
Back
Top Bottom