Nachukia sana kuitwa kolo

Nachukia sana kuitwa kolo

Utopoloooo hawana furaha hata kidogo, wanayavagaa vibaya lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti
 
we ni mjinga sana , kwanza jina utopolo huko kwenu mlijipa wenyewe, pili kolo kwa kiswahili sanifu ni MJOMBA tatu kwa mujibu wa sope albino zeruzeru kolo inamaanisha makolokolo ya jezi sasa sijui ni jezi iliyojaa makorokoro nyingine imemuweka hadi muuaji wa polisi bwana hamza
We kolo nyamazaa
images%20(15).jpg
 
haiboi kama umejaza makombe kabatini wakati Makolo Makolokolo Takataka za Dampo FC aka Mikia kabati lenu la makombe limejaa vumbi Demu wenu Barabarani aisee mzuri ila wala hajigusi!

Mtu tajiri hata ukimtukana wewe jizi fisadi hatachukia atacheka tu kwa dharau na kusema mbona hivi ni vijisenti, nyie iteni majina yote sijui Utopolo vinyesi na takataka zote ila kila mkijaa kwenye 18 tunawapasua na Mayele alivyo na sifa za kufunga na kutetema na Mwamnyeto alivyojaa na sifa za kunyanyua makombe we acha tu Yanga tamu bwana Asikwambie mtu
Endeleeni kumsifia mwanaume mwenzenu mwambie afanye kazi goli moja hoii mbili kafa. Nyie kombe lenu si kuifunga Simba? Halafu hata hatuwazi tena maana tunajua mpk mnaloga ili muishinde simba mpate sifa za kijinga
 
Endeleeni kumsifia mwanaume mwenzenu mwambie afanye kazi goli moja hoii mbili kafa. Nyie kombe lenu si kuifunga Simba? Halafu hata hatuwazi tena maana tunajua mpk mnaloga ili muishinde simba mpate sifa za kijinga
ha ha ha
kombe lenyewe bayaaa ! !
jezi ya utopolo ni nzitooo!!
Yanga inashinda mechi nje ya uwanja!!!
kipi nimesahau?

nimegundua wewe humsikilizi Mayele kwenye interview Azam anasema yuko Yanga kucheza CAF championship sio kucheza na Makolo huwa hawawazii nakushauri uanze kumsikiliza Cedric Kaze ujue mipango ya Yanga!!
 
Kwa taarifa yako 'Kolo' ni jina lenye sifa nzuri.
Chanzo cha hilo jina ni maneno ya Haji alipokuwa akiiponda jezi ya Simba ya msimu uliopita - Kwamba ina makolokolo mengi.

Kiuhalisia Jezi ikiwa na makolokolo mengi tafsiri yake hiyo Timu inaingiza mtonyo mwingi toka kwa wadhamini wake ambao lazima watangazwe kwenye hiyo jezi. Hivyo nakushauri furahia kuitwa Kolo hiko ni kielelezo cha timu nyako kuwa na mvuto kibiashara.

l
Umeeleza vema. Nasikia kuna neno Kinye fc linatamba kwa kasi. Hili nalo unalielezeaje mkuu?
 
ha ha ha
kombe lenyewe bayaaa ! !
jezi ya utopolo ni nzitooo!!
Yanga inashinda mechi nje ya uwanja!!!
kipi nimesahau?
Aaa tunaongeaga vingi sana utakumbuka tuu badae hahhaa
 
Back
Top Bottom