Nachukia sana tabia ya kuchunguliana

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Yani ukiwa upo mgahawani/hotelini afu ukawa unakata matonge ya haja ukidhani hakuna anayekuona

Utashangaa ile unamaliza tonge la mwisho muhudumu wa kufuta meza huyu hapa kashakufikia kaja kuchukua vyombo.

Hii tabia huwa inanikera sana kwa sababu muda mwingine mtu unataka kukombeleza chakula chako lakini kwa aibu unaamua kuacha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenichekesha sana aise [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajuaje kama umeshamaliza chakula kama alikuwa hakuchunguliii ?
Mi huwa kama nipo zangu bar akija kuchukua chupa namwambia acha kwanza usichukue bado nipo chumba iendelee kulinda meza [emoji23] [emoji23]
 
Khaaa wao wenyewe wanaendaga kumalixia ulichokiaxha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…