Alosto
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 366
- 352
Yani ukiwa upo mgahawani/hotelini afu ukawa unakata matonge ya haja ukidhani hakuna anayekuona
Utashangaa ile unamaliza tonge la mwisho muhudumu wa kufuta meza huyu hapa kashakufikia kaja kuchukua vyombo.
Hii tabia huwa inanikera sana kwa sababu muda mwingine mtu unataka kukombeleza chakula chako lakini kwa aibu unaamua kuacha tu.