franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Unakuta ni jitu zima unaliheshimu kazi kufoward mimeseji ya kutumiwa na watoto wadogo. We mama mtu mzima si ukae na wajukuu zako. Mkottongoz.wa mnalalamika vijana hatuna nidhamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidUkitaka usikereke na Whatsapp achana na masuala ya magroup halafu futa namba zote ulizojiunga nazo Whatsapp, tafuta namba maalumu kwa ajili ya Business zako Whatsapp tu ambayo utawapa wale walio wa muhimu.
Surewengi wenu mna muda wa kucheka cheka na kuchezea humo kwenye groups!