Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Nachukizwa na tabia hii ya malezi kwa watoto

Kulikumbuka hilo ndiyo mtihani, unamuona mkeo mchoyo badala yakuwauliza ndugu zako wakati mnatafuta hawa watoto mlijipanga vipi! 😃😃
Kuna mke kuwa mchoyo ndugu wakawa sababu hapo lazima niwa nyooshe
 
Kuna mke kuwa mchoyo ndugu wakawa sababu hapo lazima niwa nyooshe
Kazi sana kuishi na watu.

Nilikutana mama 1 eti mmewe anaumwa sukari sasa kaka yake kaja hapo ili kumwangalia ili akifa mkewe asifiche vitu na baba kashikwa hatari, halafu huyo baba aliterekeza familia kaja mjini hajaenda kwake kaenda Kwa mdogo wake
 
Back
Top Bottom