Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache ndio maana wakaitwa wanawake...Nakereka na tabia za wanawake kukaa uchiuchi harafu wakiona wanaume huanza kuhangaika kufunika nyuchi zao! Hivi nyie wanawake wanawake mna nini lakini vichwani mwenu?
Vipi nawewe Huwa unafanya hivyo Ili tuone!
Jibu umepata, wanavaa sababu yenu...Acha tufaidi wenzako
Hamia saudia.Nakereka na tabia za wanawake kukaa uchiuchi harafu wakiona wanaume huanza kuhangaika kufunika nyuchi zao! Hivi nyie wanawake wanawake mna nini lakini vichwani mwenu?
Natumaini huwa hutufanyii hayaYote hayo wanafanya kwasababu yenu wanaume muwaone ...
HakikaHili janga la kuvaa nguo ambazo ni za “nusu uchi” huwa linawakera wanaume wasio na hela tu kwani wanakuwa wanayaona maua ambayo hawawezi kuyachuma.
Inaonekana na wewe ni mvaa ovyoHili janga la kuvaa nguo ambazo ni za “nusu uchi” huwa linawakera wanaume wasio na hela tu kwani wanakuwa wanayaona maua ambayo hawawezi kuyachuma.