Ni kweli kabisa Pana wengine wanajibu kawaida ipo siku watakuta watoto zao wamevaa ivyo Sasa sijui itakuaje maana ni machukizo mbele za Mungu na sio utamaduni wetu Mungu atutete wazazi na walezi kuhakikisha kuwalea watoto katika misingi mizuri na kuwa mfano Kwa wengine.