💫Njia ya Cold Press ziko namna 2,kwa kutumia Tui na kutumia nazi kavu,kaa nasi tukueleweshe;
⚡nazi zilizokomaa huvunwa kisha hukaushwa ili kuondoa Tui kubakiza mafuta.Zipo namna 2 za kukausha kwa kutumia Hot Air Vacuum Machine au Kutumia njia ya asili ya jua.
⚡Kukausha kwa "Hot Air" huchukua masaa machache, kukausha kwa jua huchukua siku 3-5 hutegemea na ukali wa jua
⚡nazi ikisha kauka hujitenga na kifuu ili kupata mbata (nazi kavu) ambayo hukatwa vipande vidogo vidogo
⚡Vipande hivi vikavu vya nazi hupitishwa kwenye mashine ya ku "press" (kukandamiza) ambapo hutoa mafuta halisi ya nazi ambayo hayajachanganywa na chochote
⚡Mafuta haya huchujwa kwa kutumia filter maalumu (ama kitambaa kisafi cha cotton) ili kuondoa uchafu wowote uliojipenyeza
⚡kama unachuja na kitambaa,mara baada ya kukamua utayaacha yatulie kwa siku 4-7 kisha utatumia kitambaa cha cotton
💫White Oil ni nini?
⚡Ni mafuta pia ambayo yanafanana na maji yanayotokana na mimea na mbegu ambayo hutumika kutengeneza vipodozi na bidhaa za ngozi.
⚡Wengi huyatumia kama kusafishia mafuta ya nazi yaliyotengenezwa bila kuzingatia ubora pia kuongeza wingi wa mafuta ili wapate ujazo zaidi
⚡White oil hupunguza virutubisho vilivyopo kwenye mafuta ya nazi
💫Namna ya kutambua na kutofautisha mafuta ya nazi yaliyo chakachuliwa na yaliyo Pure:
⚡Mafuta yaliyochakachuliwa na Pure huwezi yatofautisha kwa kuyatizama,bali kuyatumia kwa mda.
⚡Yaliyochakachuliwa hayakai kwenye ngozi yako mda mrefu
Yanakauka na kuacha ngozi kavu na kupausha
Wengine huwatoa vipele na kuwawasha
💫Ufanye nini ukigundua hili?
⚡Badilisha mafuta ya nazi na utumie Nacoco ambayo bei yake ni rahisi zaidi kuliko mengine na yana ubora wa hali ya juu katika ujazo mkubwa zaidi.
💫Nacoco yanafaa kwa ngozi gani , brown skin, white , black ?
⚡Yanafaa kwa ngozi aina zote kwani yana virutubisho mhimu vinavyotakiwa na ngozi aina zote
💫Nacoco yanafaa kwa watoto , wanaume au wanawake ?
⚡Nacoco yanafaa kwa rika zote watoto,wanaume na wanawake, ni mafuta pekee unayoweza kujipaka kuanzia kichwani mpaka vidole vya miguu.
💫Bei zenu zikoje ?
⚡250mls - 10,000
⚡165mls - 7,000
Tunatuma pia sehemu zote za nchi na nje ya nchi.
💫Kama ngozi ilikua tayari imeharibika yanaweza nisaidia?
⚡Nacoco yanarudisha ubora wa ngozi yako ya zamani hata kama imeharibika kwa matumizi ya vipodozi au mafuta mengine ya nazi
Instagram: Login • Instagram
Twitter: https://twitter.com/nacocoproducts