Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
Hili suala me linanichanganya kidogo,applications for undergraduate studies zimewekwa kwenye category tofautitofauti.wale wanaotumia form six qualifications wana link yao,wenye diploma qualification nao wana link yao na hii inaonekana ipo chini ya NACTE.sasa ina maana NACTE wana database yao wenyewe na TCU nao wana database yao?kama ni hivyo inamaa vyuo watapata majina ya wanavyuo kutoka mamlaka mbili tofauti?NACTE wanasema wenye diploma lakini hawakuwa na principal ya form six watachaguliwa lakini kwenye vyuo na taasisi ambazo watakuwa tayari kuwapa extral modules bila kuzitaja hizo taasisi ay vyuo.mchakato mzima wa kuchagua wanachuo wa mwaka wa kwanza unafuata processes zipi?wenye inform tuelimisheni wenzenu