NACTE and TCU:Selection of Undergraduate Students

NACTE and TCU:Selection of Undergraduate Students

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
Hili suala me linanichanganya kidogo,applications for undergraduate studies zimewekwa kwenye category tofautitofauti.wale wanaotumia form six qualifications wana link yao,wenye diploma qualification nao wana link yao na hii inaonekana ipo chini ya NACTE.sasa ina maana NACTE wana database yao wenyewe na TCU nao wana database yao?kama ni hivyo inamaa vyuo watapata majina ya wanavyuo kutoka mamlaka mbili tofauti?NACTE wanasema wenye diploma lakini hawakuwa na principal ya form six watachaguliwa lakini kwenye vyuo na taasisi ambazo watakuwa tayari kuwapa extral modules bila kuzitaja hizo taasisi ay vyuo.mchakato mzima wa kuchagua wanachuo wa mwaka wa kwanza unafuata processes zipi?wenye inform tuelimisheni wenzenu
 
Mkuu nacte na tcu wanafanya kazi kwa pamojaa! Bt nacte wanashughulika na watu wanaoapply through diplomaa! Khsu selectn process, system ndo inayochagua ni hv ktka 1st choice yako unapambanishwa na watu wote walioomba as first kama ww! Xo ukishndwa system inakutema kwenye secnd choice yako hvo hvo had mwisho(5th choice)! Bt me kama cjawaelewa vizur khcu 2nd choice na kuendelea NB; source, kpnd cha malumbano ya hoja jana itv! Walikuwepo tcu na nacte!! Overrr
 
kwa hiyo kuna uwezekano ukakosa choices zote nini?well kwa hiyo pia kila mmoja yaani nacte na tcu wanatangaza matokeo au wanaunganisha pamoja ndo watangaze?hapo kwenye system kupambanisha kwa kufuata choices wamesema hiyo system inatumia vigezo gani?saiv ukiangalia kwenye profile za nacte inaonyesha kuna programmes ktk baadhi ya vyuo havijachaguliwa kabisa,hapo ina maanisha kinachoonekana nacte ni selection za diploma holders tu?sasa kama chuo fulani inahitaji wanafunzi let say 40,kuna mgawanyo maalum kuwa diploma holders wawe kadhaa na form six leavers wawe kadhaa.nimemapply mtu wa diploma lakini bado nabaki na maswali mengi bila majibu
 
uwezekano wa kukosa choice zte upo ila unaletwa na competetn ya watu walioomba hzo koz husika!! Also hakuna suala la hii koz inachukua wa diplomaa kadhaa au wa form six kadhaa! Pia system inatumia vigezo vle vle vya masomo/cuttngpnt&gpa kwenye kozi husika unayoomba! Mfano; bsc in accnt vipaomble walioosma accnt,cmmrce,economics,mathematics ingawa hata walisma hkl,hgk,hgl,pcb,cbg wanaweza kusma b'chlr in accnt, sasa baada ya hapo kama watu wamezid ndo mnashindanishwa kwa kuangalia ufauluu(cuttng pnt&gpa) mwenye cttng pnt kubwa anapewakipaombelee!! Overrrr
 
ok nimekusoma ila nimeuliza hivyo manake wanao apply kwa diploma qualifications kunakuwa na capacity ya wanafunzi wanaotakiwa kwa kila mprogram,kwa mfano unataka kuchagua marketing let say CBE,system itakuonyesha capacity inayotakiwa ni let say 40,then itakuonyesha walioweka choice 1 hadi 5,sasa kwa nini nashawishika kusema kuna idadi wanaotakiwa kwa diploma na kwa form six ni kutokana na utofauti nilioona,mfano UDOM course ya bcom with marketing capacity inaonyesha wanataka wanafunzi watano tu kitu ambacho sidhani ndo ilivyo,kuna mifano mingi tu,wakati ninyi mnataja wanaotakiwa ni maelfu, huku NACTE system yao inaonyesha kuna vyuo bado hazina watu kabisa
 
kwa hiyo kuna uwezekano ukakosa choices zote nini?well kwa hiyo pia kila mmoja yaani nacte na tcu wanatangaza matokeo au wanaunganisha pamoja ndo watangaze?hapo kwenye system kupambanisha kwa kufuata choices wamesema hiyo system inatumia vigezo gani?saiv ukiangalia kwenye profile za nacte inaonyesha kuna programmes ktk baadhi ya vyuo havijachaguliwa kabisa,hapo ina maanisha kinachoonekana nacte ni selection za diploma holders tu?sasa kama chuo fulani inahitaji wanafunzi let say 40,kuna mgawanyo maalum kuwa diploma holders wawe kadhaa na form six leavers wawe kadhaa.nimemapply mtu wa diploma lakini bado nabaki na maswali mengi bila majibu

dah sijui nikuelewesheje, ngoja nijaribu tcu na nacte wote kazi yao ni moja ila utofauti wao tu ni ule wale wa form six wanaomba kupitia tcu na wale wenye diploma wanaomba kupitia nacte

lakini pia hilo la kwanini unakuta nafasi huko nacte zipo wazi wakati tcu wanaonyesha watu wamejaa hadi kupitiliza, hii inatokana na chuo kinatenga labda nafasi 100 kwa kozi fulani, kati ya watu hawa 100 inahitaji form 6 labda 80 na wale wenye diploma 20 hivyo unakuta diploma wana idadi yao waliyotengewa na form 6 wana idadi yao waliyotengewa

ndio maana unaweza kuta huku kwenye tcu wanafunzi wamejaa tele lakini kule kupitia nacte nafasi bado zipo wazi
 
yaani hapo nimekuelewa hadi kupitiliza,tht was my first concern and though i was not sure,i thought something like tht,well naona leo upande wa nacte wamerestrict kufanya changes za selection
 
yaani hapo nimekuelewa hadi kupitiliza,tht was my first concern and though i was not sure,i thought something like tht,well naona leo upande wa nacte wamerestrict kufanya changes za selection

tupo pamoja kiongozi
 
Back
Top Bottom