NACTE award verification number kwa wenye FTC, inakataa

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wakuu mimi nilimaliza mbeya technical college,enzi za FTC,sasa nikitaka kupata award verification number, kutoka nacte.

Nikiingiza INDEX NO yangu ambayo inaanza na U*/, inakataa, inasema nianze na S/ au P/*, naombeni msaada wana jukwaa, nataka nijiunge dit na 3 years bachelor program.

Screenshot_2022-07-08-23-26-47-95.jpg
 
Wakuu mimi nilimaliza mbeya technical college,enzi za FTC,sasa nikitaka kupata award verification number, kutoka nacte.

Nikiingiza INDEX NO yangu ambayo inaanza na U*/, inakataa, inasema nianze na S/ au P/*, naombeni msaada wana jukwaa, nataka nijiunge dit na 3 years bachelor program.

View attachment 2288747
Hapo chini Country where yo...
Mbona ni Necta TZ ? Sio nacte Tz kweli?
 
Mi naomba msaada wa jinsi ya kupata hiyo AVN kwa sisi tuliosoma diploma kupitia mfumo wa necta na sio nacte
 
Back
Top Bottom