NACTE/CAS tuongezeni wiki moja

NACTE/CAS tuongezeni wiki moja

Nawashukuru sana wote mliochangia hakika nimepata nguvu maana nilikuwa nimeumia sana 50,000/= ipotee hivi hivi Yuzhonai

mbona profile yangu inaonesha naweza kubadil hadi tar 31 july?,nakushaur apply hivo hivo kama hutojal nipm namba yako nikupe namba yao uongee nao
 
Last edited by a moderator:
Wadau naomba msaada najaribu ku apply on line degree kwa kutumia equivalent zangu lakini naletewa massage kwamba weka weka certificate zako za veta nimekwama wadau.
 
Nimesoma kidato cha nne nikafanya certificate na baadae diploma.sasa namna ya kuatach file nashindwa kama kuna mwenye uzoefu tafadhali msaada
 
Nimesoma kidato cha nne nikafanya certificate na baadae diploma.sasa namna ya kuatach file nashindwa kama kuna mwenye uzoefu tafadhali msaada

mkuu kwani umemaliza mwaka gani?? na ni faili unalotaka kuattach??
 
jamani naomben msaada wa namba za nacte tafadhari mi profile linagoma kufunguka jamen

1 AMANI H. MAKOTA ZONAL IN-CHARGE NORTHEN
The National Council for Technical Education,
Northern Zone,
P.O. Box 14333
ARUSHA
Mob:0658444556
2 SIRIVIANA MENGO
ASSISTANT ZONAL IN-CHARGE NORTHERN Address:
The National Council for Technical Education,
Northern Zone,
P.O. Box 14333
ARUSHA
Mob:0658444557
3 EDWARD J. MNEDA
ZONAL IN-CHARGE CENTRAL
Address:
The National Council for Technical Education,
Central Zone,
P.O.BOX 17007
DODOMA
Mob:0658444558
4 ABEL KASSA
ASSISTANT ZONAL IN-CHARGE CENTRAL
Address:
The National Council for Technical Education,
Central Zone,
P.O.BOX 17007 DODOMA
Mob:06584445595 RAINERY MWINUKA
ZONAL IN-CHARGE LAKE
Address:
The National Council for Technical Education,
Lake Zone,
P.O.BOX 11935 MWANZA
Mob:0658444560
6 BEATRICE MPANDA
ASSISTANT ZONAL IN-CHARGE LAKE The National Council for Technical Education,
Lake Zone,
P.O.BOX 11935
MWANZA
Mob:0658444562
7 GODFREY KOMBA
ZONAL IN-CHARGE ZANZIBAR The National Council for Technical Education,
Zanzibar,
P.O.BOX 1191 ZANZIBAR
Mob:0658444565
8 FRANK
 
Back
Top Bottom