Nacte confirmed

Nacte confirmed

bengesi

Member
Joined
May 22, 2014
Posts
29
Reaction score
0
Habari za jion guyz naombeni msaada wenu wa kimawazo nimekua slected chuo cha mzumbe na profile yangu yangu ya NACTE yaonesha nmekua confirmed ila nkichek jina langu ktk list ya TCU jina langu silioni na pia ktk list ya selected candidates mzumbe jina langu halipo what shud i do???
 
Ndo umekosa chuo..ushauriwe nin sasa hapo?
 
Perry unajibu nn sasa jaribu kuwa kama msomi...
Den ndugu fanya mawasiliano na chuo ukiwana support ya nacte ama tcu
 
bado wanatoa majina mengne so kuwa.mvumiliv

Back
Top Bottom