Habari za jion guyz naombeni msaada wenu wa kimawazo nimekua slected chuo cha mzumbe na profile yangu yangu ya NACTE yaonesha nmekua confirmed ila nkichek jina langu ktk list ya TCU jina langu silioni na pia ktk list ya selected candidates mzumbe jina langu halipo what shud i do???