Rafik yangu iko hivo pia
Perry unajibu nn sasa jaribu kuwa kama msomi...
Den ndugu fanya mawasiliano na chuo ukiwana support ya nacte ama tcu
Habari za jion guyz naombeni msaada wenu wa kimawazo nimekua slected chuo cha mzumbe na profile yangu yangu ya NACTE yaonesha nmekua confirmed ila nkichek jina langu ktk list ya TCU jina langu silioni na pia ktk list ya selected candidates mzumbe jina langu halipo what shud i do???