k-star
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 541
- 388
Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu Majibu Wanajibu Kwa Dharahu Mara Sihusiki.
Sasa najiuliza hizo namba kwenye tovuti yenu zipo kwa kazi gani kama hamwezi kuwasaidia wateja wenu si mngezitoa maana hazina msaada kwetu sisi wananchi.
Namba Moja Inaishia 9595 na nyingine inaishia 0311