NACTE inavyo andika ' PS' wanamaanisha nini? Naomba msaada wenu wadau

NACTE inavyo andika ' PS' wanamaanisha nini? Naomba msaada wenu wadau

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
kuna jamaa mmoja ameniambia maana yake ni Pending not selected.namgine Pending selection,kwa mimi ninavyo ona ni PENDING SELECTION.
 
pending selection,jana niliongea na jamaa yangu yupo hapo nacte na akanambia baadae zitabadilika kua selected then baadae utaonyeshwa chuo ulichochaguliwa.
 
Back
Top Bottom