NACTE:Janga lingine la kuangamiza Elimu Tanzania

NACTE:Janga lingine la kuangamiza Elimu Tanzania

jambo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Posts
241
Reaction score
29
Salaam,
Wakuu hii taasisi ya NACTE nayo ni moja kati ya majanga ya kitaifa katika elinu yetu..Hawa jamaa wanachangia sana kuua elimu tanzania..ukitaka kuamini hili Waulize NACTE namna mitaala ya vyuo vilivyo chini yake unaandaliwa vipi? pia waulize je mitaala ya vyuo inafanana..maana kila chuo kina mitaala yake yaan bora liende..?Alaf juz hapa wamekuja na staili mpya eti kila mwanafunzi kwenye hivyo vyuo vyao atoe 15000 kwa ajili ya utunzaji wa Database mbaya zaidi wanachukua mpaka kwenye vyuo ambavyo havina usajiri wa kudumu,yaan nchi kila mtu na lwake..
 
Mh! Mpaka 2015 tutaona na kuyaskia mengi sana. Mungu ibariki Tanganyika na Zanzibar
 
st joni kituko d 1 twende kazi fom 6 felya anajoini dip bila makeke.AMA KWELI ELIMU YETU IMEPIGWA NGWALA!
 
Back
Top Bottom