vallentino86
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 532
- 213
Watu wengine bhana,,ndo nn sasa kutia watu presha na viheding visivyokua na ukwel...shittttttt
Mpaka Saiz Kuna Idadi Kubwa Ya Vyuo Imetoa Majina Kama First Batch, Lakini Sijaona Diploma(kama Yupo Anidhibitishie) Aliechaguliwa Kwenye Hivyo Vyuo Na Wala Taasisi Zinazohusika Hazisemi Lolote.
Sasa Je Diploma Yatatolewa Kama Second Batch?, Yatatolewa Kivyake Au Ndo Ishakula Kwao?
Majibu Samahani
diploma baadhi yametoka pamoja na hawa fresher kuna majina 8 ya uhasibu arusha nimewaangalizia jamaa wamepata pale na walijaza kupitia nacte. Afu ata udsm wapo wengi sana kwenye hiyo list iliyopo