NACTE kutoa majina kuanzia kesho

NACTE kutoa majina kuanzia kesho

Hata mim ni muhanga wa hilo,chuo nilichoapplya cha kwanza kimetoa majina cha ajabu program niliyoapply haipo na hata majina hayapo.

Nawapigia simu chuon wanipe japo ufafanunuz tu hawapokei!, daaah ngoja niendelee kuvuta subira.
 
Mtachaguliwa Udsm mbn wapo diploma kibao wamechaguliwa ila kwenye coz za engineering
 
Mpaka Saiz Kuna Idadi Kubwa Ya Vyuo Imetoa Majina Kama First Batch, Lakini Sijaona Diploma(kama Yupo Anidhibitishie) Aliechaguliwa Kwenye Hivyo Vyuo Na Wala Taasisi Zinazohusika Hazisemi Lolote.
Sasa Je Diploma Yatatolewa Kama Second Batch?, Yatatolewa Kivyake Au Ndo Ishakula Kwao?
Majibu Samahani

diploma baadhi yametoka pamoja na hawa fresher kuna majina 8 ya uhasibu Arusha nimewaangalizia jamaa wamepata pale na walijaza kupitia nacte. afu ata udsm wapo wengi sana kwenye hiyo list iliyopo
 
diploma baadhi yametoka pamoja na hawa fresher kuna majina 8 ya uhasibu arusha nimewaangalizia jamaa wamepata pale na walijaza kupitia nacte. Afu ata udsm wapo wengi sana kwenye hiyo list iliyopo

asante ndugu kwa kunidhibitishia hilo kwa hiyo jibu la moja kwa moja imekula kwao? Au?
 
subiri vitu vinakuja wewe huna haya ya kusaka kwenye mitandao ya vyuo NACTE wataweka kwenye profile yako
 
Back
Top Bottom