NACTE kutoa majina kuanzia kesho

NACTE kutoa majina kuanzia kesho

Kwa madudu haya ya TCU &NACTE viongozi wake wa juu wanapaswa kujihudhuru, Maana wameshidwa kuzitetea taaluma zao na ufanisi wao kwa jukumu walilopewa.

Matokeo yake wanakuja kusababisha usumbufu kwa waombaji. Mfano, walikua wapi kukifungia chuo cha IMTU mapema ili waombaji wasisumbuke nacho na je, kwa wale ambao post zao zilikua allocated IMTU wanawapeleka wapi?
 
Kwa madudu haya ya TCU &NACTE viongozi wake wa juu wanapaswa kujihudhuru, Maana wameshidwa kuzitetea taaluma zao na ufanisi wao kwa jukumu walilopewa.
Matokeo yake wanakuja kusababisha usumbufu kwa waombaji. mfano walikua wapi kukifungia chuo cha IMTU mapema ili waombaji wasisumbuke nacho na je, kwa wale ambao post zao zilikua allocated IMTU wanawapeleka wapi

du,inaonekana unafikikiria haraka sana kama bao la kwanza,bila hata kujaji ulichokiandika.
 
kujihudhuru ndo kufanyaje au ni undergraduate programme inayotolewa hapo?
 
Nime rudi tena kama kawa nyota ambao huwainaangazakote, Kweli Hawa jamaa TCU & NACTE kwa ujumla ni wazembe sana nibora Magufuli angehamia kwenye sector ya elimu 2, il awa kimbize kikazi.
 
Watu wengine bhana,,ndo nn sasa kutia watu presha na viheding visivyokua na ukwel...shittttttt
 
MPAKA LINI TCU/NACTE???????????
fikra zimegubikwa na wingi wa mawazo na dukuduku!
Nani wakuyaweka mambo wazi?
TCU?-KIMYA!
NACTE?-NDO USISEME!]
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ccm imeingiaje huko
 
watu tunakesha kwenye mtandao tukisubil watoe majina tangu tr 22 hadi sasa 25% ya vyuo ndo wametoa vyuo ndo vinafunguliwa mwz wa kumi na heslb bado hadi nais kuchanganyikiwa ankra ni shida
 
Mpaka Saiz Kuna Idadi Kubwa Ya Vyuo Imetoa Majina Kama First Batch, Lakini Sijaona Diploma(kama Yupo Anidhibitishie) Aliechaguliwa Kwenye Hivyo Vyuo Na Wala Taasisi Zinazohusika Hazisemi Lolote.

Sasa Je Diploma Yatatolewa Kama Second Batch?, Yatatolewa Kivyake Au Ndo Ishakula Kwao?

Majibu Samahani.
 
watu tunakesha kwenye mtandao tukisubil watoe majina tangu tr 22 hadi sasa 25% ya vyuo ndo wametoa vyuo ndo vinafunguliwa mwz wa kumi na heslb bado hadi nais kuchanganyikiwa ankra ni shida

Acha tu bando la wiki linaisha sasa hamna kitu
 
Back
Top Bottom