Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Nimeshangaa mtu anajaza taarifa zote ili kupata AVN lakini anambiwa itachukua masaa mengi hadi zaidi ya 130 ili kupata majibu, hata control number ya kulipia nayo inachukua masaa yote hayo.
Kama vitu hivi ni system zinafanya kazi, nani ali-set masaa yote hayo?
Kindly be informed that your application for Award Verification has been received and is still pending verification,
You will be informed through provided email address and phone number (through sms) its status within 99:05 hours.
Huyu ana zaidi ya siku 2 amekamilisha, lakini anaambiwa 99.05 hours!
Nimekuwekea quotation toka kwenye system yao:No...niwewe mwenyewe kuna issue umekosea kujaza...AVN kupata hata dak 5 hazizidi
Nimekuwekea quotation toka kwenye system yao:
"Kindly be informed that your application for Award Verification has been received and is still pending verification,
You will be informed through provided email address and phone number (through sms) its status within 99:05 hours."
Nadhani kungekuwa na makosa system ingesema kitu tofauti, siyo kunipa masaa yote hayo, je masaa hayo yakiisha ndipo itaniambia ulikosea?
Diploma in Marketing CBE MbeyaUlikua unasoma kozi gani.?
UlifanikiwaDiploma in Marketing CBE Mbeya