Acha kupotosha watu deadline bado,check twitter.com/nacteKwa wale ambao wanataka kutuma maombi ya kujiunga na elimu ya juu,leo ndo mwisho kusabumiti form zao,ambao watakuwa 3rd round selection,Pia ambao wanauwezo wa kuchange course au programe maana nili chati na NACTE,niliwauliza kuhusu kuchange course waka sema hivi wanarusiwa wale tu ambao 3rd round selection
Hiv ishu ya mkopo vp kwa ss tulioapply NACTE?
nyie hampatagi mkopo!
Kwa sababu nyie mna ubia na bodi---?
NACTE wote hawapatag mkopo hata wafanyaje!! kama wewe unakuwa mjeuri sawa! mimi ninafanya field bodi ya mikopo pale najua wewe leta ubishi sasa!
NACTE wote hawapatag mkopo hata wafanyaje!! kama wewe unakuwa mjeuri sawa! mimi ninafanya field bodi ya mikopo pale najua wewe leta ubishi sasa!
Wa NACTE wakipataga mikopo wewe inakuumaga nini? Uchoyo sio mzuri kaka!
acha kuwatisha wenzako mimi nina dogo wangu anasoma civil eng amepata mkopo mwaka jana na amesoma diploma...mkuu unajitia unafanya kazi bodi nini? Mtapata mkopo wakuu kama course zenu priority na mnakidhi vigezo vyote
mimi nafanya field pale najuwa ingawa niko department ingine kabisa!! kama hutaki mimi ckulazmishi!
NACTE wote hawapatag mkopo hata wafanyaje!! kama wewe unakuwa mjeuri sawa! mimi ninafanya field bodi ya mikopo pale najua wewe leta ubishi sasa!
weh nawe umetokea wapi mbona kama hujielewi!!? unajua definition ya uchoyo??
Uwezi kunilazimisha kwa reason yako ya kufanya field waacha madogo watapata loan mimi nina evidence ya dogo kupata loan.......au wewe ndio una hakiki majina....acha madogo wasubiri mkopo..unawatisha kwa reason ya kufanya field ingekuwa vipi ungekuwa unapiga kazi...acha kupotosha madogo chalii
Nilimaanisha kuwa yaani wewe "kufanya field" tu hapo Bodi ya Mikopo kunakufanya uwe mtunga taratibu za Mikopo? Wenzio wa Diploma wakipata Mikopo itakuathiri nini? Huo ni zaidi ya uchoyo, ni ukuda!