Nacte leo ndo mwisho kupokea form

Nacte leo ndo mwisho kupokea form

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Kwa wale ambao wanataka kutuma maombi ya kujiunga na elimu ya juu,leo ndo mwisho kusabumiti form zao,ambao watakuwa 3rd round selection,Pia ambao wanauwezo wa kuchange course au programe maana nili chati na NACTE,niliwauliza kuhusu kuchange course waka sema hivi wanarusiwa wale tu ambao 3rd round selection
 
Mbona mtu akitaka kutumia account yake kuchange chuo inagoma, hili limekaaje?
 
Kwa wale ambao wanataka kutuma maombi ya kujiunga na elimu ya juu,leo ndo mwisho kusabumiti form zao,ambao watakuwa 3rd round selection,Pia ambao wanauwezo wa kuchange course au programe maana nili chati na NACTE,niliwauliza kuhusu kuchange course waka sema hivi wanarusiwa wale tu ambao 3rd round selection
Acha kupotosha watu deadline bado,check twitter.com/nacte
National Council for Technical Education (NACTE)
NOTICE TO PUBLIC
The National Council for Technical Education (NACTE) informs all applicants (Diploma and applicants with equivalence qualifications)that Central Admission System is now open for third round till 9th Sept.2013.For those are still in the system and new applicants.
Thanks
 
NACTE wote hawapatag mkopo hata wafanyaje!! kama wewe unakuwa mjeuri sawa! mimi ninafanya field bodi ya mikopo pale najua wewe leta ubishi sasa!

acha kuwatisha wenzako mimi nina dogo wangu anasoma civil eng amepata mkopo mwaka jana na amesoma diploma...mkuu unajitia unafanya kazi bodi nini? Mtapata mkopo wakuu kama course zenu priority na mnakidhi vigezo vyote
 
kama mimi mnaona ni mwongo,pitieni kwenye A/c yangu ya facebook.
Facebook name:mwallongo Gover ,halafu pitia kwenye notification,ambazo nilichati nayo trough fb,wali niambia nibadili chaguo kabla ya date 6/9/2013, kama haitoshi walitoa kwenye blog yao waliandika hivi,First and second round Not selected.kwa juu yake Waliandika NOTE. Ukisoma hapo walitoa maelezo ya kutosha.deadline 6/9/2013,kama labla wame change leo.mimi siwezi kuwadanganya wadau wenzengu?
 
acha kuwatisha wenzako mimi nina dogo wangu anasoma civil eng amepata mkopo mwaka jana na amesoma diploma...mkuu unajitia unafanya kazi bodi nini? Mtapata mkopo wakuu kama course zenu priority na mnakidhi vigezo vyote

mimi nafanya field pale najuwa ingawa niko department ingine kabisa!! kama hutaki mimi ckulazmishi!
 
Uwezi kunilazimisha kwa reason yako ya kufanya field waacha madogo watapata loan mimi nina evidence ya dogo kupata loan.......au wewe ndio una hakiki majina....acha madogo wasubiri mkopo..unawatisha kwa reason ya kufanya field ingekuwa vipi ungekuwa unapiga kazi...acha kupotosha madogo chalii
 
NACTE wote hawapatag mkopo hata wafanyaje!! kama wewe unakuwa mjeuri sawa! mimi ninafanya field bodi ya mikopo pale najua wewe leta ubishi sasa!

Nyie ndo kama wale wabunge wengi kule mjengoni, wenye mawazo ya jumuiya hata kama kama ni ya kuiuza hii nchi, kwa taarifa yako mi pia mwanafunzi kupitia NACTE na mi pamoja na darasa langu wote tumepata 100% ya mkopo na sijawahi kusumbuliwa chochote juu ya mkopo mpaka now naenda kumaliza chuo...!
 
weh nawe umetokea wapi mbona kama hujielewi!!? unajua definition ya uchoyo??

Nilimaanisha kuwa yaani wewe "kufanya field" tu hapo Bodi ya Mikopo kunakufanya uwe mtunga taratibu za Mikopo? Wenzio wa Diploma wakipata Mikopo itakuathiri nini? Huo ni zaidi ya uchoyo, ni ukuda!
 
Uwezi kunilazimisha kwa reason yako ya kufanya field waacha madogo watapata loan mimi nina evidence ya dogo kupata loan.......au wewe ndio una hakiki majina....acha madogo wasubiri mkopo..unawatisha kwa reason ya kufanya field ingekuwa vipi ungekuwa unapiga kazi...acha kupotosha madogo chalii

kama hutaki wewe ni mjeur!
 
Nilimaanisha kuwa yaani wewe "kufanya field" tu hapo Bodi ya Mikopo kunakufanya uwe mtunga taratibu za Mikopo? Wenzio wa Diploma wakipata Mikopo itakuathiri nini? Huo ni zaidi ya uchoyo, ni ukuda!

kwani kuna ugomvi ndugu yangu!! haya watapata basi!
 
Ulichat na nacte? Kumbe nacte ni mtu...lol
 
Back
Top Bottom