Nacte - log in

sure,kweli bro nimekaona kaujumbe ila kakiuni sana japo profile linafunguka,kaujumbe kanasema the system currenty closed,chek your selection status,ila kwenye selection pako kawaida,
 
Nacte sasa inafunguka ila wameandika kaujumbe pale nahisi kunakakitu kanafuata leo

achane presha kama vigezo vya kupangiwa chuo unavyo utapangiwa 2 acheni kupata presha kutoka kwa madogo wa six coz wao chuo ndio mara ya kwanza.sasa nashangaa na nyinyi mnapata presha au ndio mara yenu ya kwanza kwenda chuo?
 
Mkuu hata wa Diploma kuna ma-form 6, hawa wote wenye pressure ni design hiyo ndo maana wana pressure!
 
sio presure ni shauku a kujua wap mtu anaend kusoma.....gud day🙂🙂🙂
 
Kuna watanzania wanajifunza siasa humu,hisia za m2 ziheshimuni maana wanajiona wao ndo hawana plesha kabisa,watu tunategemea kujisomesha ni muhimu m2 ukajua ni wapi unaenda ili ujipange,nyie kula kulala mnanyanyua pua,WANAPLESHAAA''MAKALIO YENU
 
Mkuu hata wa Diploma kuna ma-form 6, hawa wote wenye pressure ni design hiyo ndo maana wana pressure!

presure inatoka wapi wakati salary ina flow throw out the year??acheni kuwadis wenzio?mtu anaitaji kuona alicho lipia umesahau tulilipa hamsini elfu??
 
Kuna watanzania wanajifunza siasa humu,hisia za m2 ziheshimuni maana wanajiona wao ndo hawana plesha kabisa,watu tunategemea kujisomesha ni muhimu m2 ukajua ni wapi unaenda ili ujipange,nyie kula kulala mnanyanyua pua,WANAPLESHAAA''MAKALIO YENU

Mkuu acha matusi au diploma yako umejifunza matusi.....unaonyesha jinsi gani ata ujiamini na unayofanya.acha kukariri watu mimi sio kula kulala kama akili yako ndogo ilivyokutuma ata nikikwambia elimu yangu utajishitukia....badilika nenda chuo kasoma kijana
 
Madogo acheni kutemeana mbovu basi?! Ila ukweli hivi vijamaa vina pressure ile mbaya ukute hata matokeo ya vyenyewe ni pass ndo maana pressure iko juu, wenye dist zao wako kiiimyaaa!! Eti siyo pressure tunataka kujua tumepangwa wapi!!
 
Anahaki ya msingi kujua ni wapi alipo pangiwa, haijalishi kama ana pass , second lower class, second uper class au first class, Isipokua katumia lugha ambayo haijampendeza mwenzako na hayo ni mapungufu ya kibinadamu.

Madogo acheni kutemeana mbovu basi?! Ila ukweli hivi vijamaa vina pressure ile mbaya ukute hata matokeo ya vyenyewe ni pass ndo maana pressure iko juu, wenye dist zao wako kiiimyaaa!! Eti siyo pressure tunataka kujua tumepangwa wapi!!
 
Achana na mimi kijana,pasi ya kwangu,kaelimu kangu kadogo na ndo maana ninausongo nikakapandishe ili nikakamate ofisi kwa uhuru,mi sisomei kazi mdogo wangu naenda kusome nafasi za juu,we unaleta leta dhalau humu,ila sory kijana nime2mia lejesta ya mtaani hyo nilitumia sana wakati napiga debe sory sana,MI NINAHAMU MAANA B.OF VETERNARY MEDICINE-SUA NIMEIMISI SANA NDO MAANA NATAKA KUJUA FASTA FASTA
 
sure,kweli bro nimekaona kaujumbe ila kakiuni sana japo profile linafunguka,kaujumbe kanasema the system currenty closed,chek your selection status,ila kwenye selection pako kawaida,

kuna mtu yake imebadilika,first selection alikua kachagua Mkwawa baed ila imerudi wameiondoa na imewekwa UDSM baed,cjui hii ipo vipi?
 
uwezekano wa mabadiliko ni mkubwa kwani ushindani wa kozi kwa vyuo mbali mbali,utakuta udsm labda wanataka watu 100 wakiomba watu 200 na kama kunanafasi chuo fulani lazima wengine wapelekwe hko,kifupi kupata unachotaka mi nadhani ni bahati tu kwani kunawaliojitamba kuchaguliwa udsm wakadunda fresh 2
 
ipo kawaida 2 ,hamna mabadiliko,wamefunga editing option tu..hopefully watatoa hv karibuni.
 
SOSY unajua kuchonga wewe? Haki ya nani ukienda BVM na huo mdomo huchomoki? By the way nakutakia mafanikio kijana! Ila SUA yana roho mbaya kama nini, yaani hakuna hata m1 wa kukaribisha wenzake?
 
Sawa mkuu nakutakia masomo mema umalize salama then uje mtaani tuendeleze gurudumu la maendeleo ya taifa.....
 
haina shaka kijana,2ckatishane tamaa vijana maana uwezi jua kesho itamwangukia nani,pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…