S SOSTENESS J.N Member Joined Feb 13, 2013 Posts 83 Reaction score 19 Aug 17, 2013 #1 Hivi equivalents hatuna haki au mkubwa dawaaaa?
S SOSTENESS J.N Member Joined Feb 13, 2013 Posts 83 Reaction score 19 Aug 17, 2013 Thread starter #2 vijana wa tcu fulaha m2 saa hz ila sie wenzangu na mimi dah
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 17, 2013 #3 Ndio kusema wale equivalent hawajatoa majina
D DNA Member Joined Jun 27, 2012 Posts 34 Reaction score 6 Aug 17, 2013 #4 Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani
N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 430 Reaction score 61 Aug 17, 2013 #5 lakini profile za wale wa diploma qualifications hazifunguki toka jana,au ni ya kwangu tu,vipi kwa wengine?
lakini profile za wale wa diploma qualifications hazifunguki toka jana,au ni ya kwangu tu,vipi kwa wengine?
N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 430 Reaction score 61 Aug 17, 2013 #6 DNA said: Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani Click to expand... watakuwa wanamalizia kuprocess ndo maana profile hazifunguki sasa,au yako inafunguka kwani?
DNA said: Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani Click to expand... watakuwa wanamalizia kuprocess ndo maana profile hazifunguki sasa,au yako inafunguka kwani?
S SOSTENESS J.N Member Joined Feb 13, 2013 Posts 83 Reaction score 19 Aug 17, 2013 Thread starter #7 profile hazifunguki tangu majuzi,wenze2 wana source nyingine za kupata matokeo,why us?
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,028 Aug 18, 2013 #8 Ukubwa dawa! TCU kwanza then NACTE wanafuatia.. Ni kama ka utaratibu walikojiwekea so, kua mpole SOSTENESS J.N said: profile hazifunguki tangu majuzi,wenze2 wana source nyingine za kupata matokeo,why us? Click to expand...
Ukubwa dawa! TCU kwanza then NACTE wanafuatia.. Ni kama ka utaratibu walikojiwekea so, kua mpole SOSTENESS J.N said: profile hazifunguki tangu majuzi,wenze2 wana source nyingine za kupata matokeo,why us? Click to expand...
donmasam Senior Member Joined Jun 19, 2013 Posts 161 Reaction score 36 Aug 18, 2013 #9 daaah nlishachoooka kusubiri.....!!!tangu j4 error apache..!na c kama hawajamaliza waloweka fast selectn kwa vyuo walivyotoka washapelekwa
daaah nlishachoooka kusubiri.....!!!tangu j4 error apache..!na c kama hawajamaliza waloweka fast selectn kwa vyuo walivyotoka washapelekwa
donmasam Senior Member Joined Jun 19, 2013 Posts 161 Reaction score 36 Aug 18, 2013 #10 ni bora tuhuzane humu kukiwa na taarifa yeyote