Nacte mnazingua

Nacte mnazingua

Ndio kusema wale equivalent hawajatoa majina
 
Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani
 
lakini profile za wale wa diploma qualifications hazifunguki toka jana,au ni ya kwangu tu,vipi kwa wengine?
 
Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani

watakuwa wanamalizia kuprocess ndo maana profile hazifunguki sasa,au yako inafunguka kwani?
 
profile hazifunguki tangu majuzi,wenze2 wana source nyingine za kupata matokeo,why us?
 
daaah nlishachoooka kusubiri.....!!!tangu j4 error apache..!na c kama hawajamaliza waloweka fast selectn kwa vyuo walivyotoka washapelekwa
 
Back
Top Bottom