adeni kyomo
Member
- Dec 20, 2012
- 34
- 7
Ukibahatika kuandikiwa
eligible usijaribu kureset maana hata chuo ambacho ungepita
hukikuti.....sababu watakuambia ulipo reset wenzako wamekiwahi.
Vumilia tu.....usithubutu kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
Vumilia tu.....usithubutu
kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo
yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
kweli mkuu mm kesho saa 3:00 asubuhi nitakuwa ofcn kwao mikocheni pale