adeni kyomo
Member
- Dec 20, 2012
- 34
- 7
Ivi kweli tulio kosa vyuo na wakatuambia tu applay upya si ndo mkopo basi tena au mnaniambiaje mana majina yatakuwa yamepelekwa tayari bodi ya mikopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukibahatika kuandikiwa
eligible usijaribu kureset maana hata chuo ambacho ungepita
hukikuti.....sababu watakuambia ulipo reset wenzako wamekiwahi.
Vumilia tu.....usithubutu kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
Vumilia tu.....usithubutu
kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo
yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
kweli mkuu mm kesho saa 3:00 asubuhi nitakuwa ofcn kwao mikocheni pale