Nacte na selection za afya.

Nacte na selection za afya.

mwananyoro

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
47
Reaction score
3
kwa walioomba Kozi za afya nacte...enyi nyie NACTE toeni selection mapema ili tujipange kifedha,na pia kama hatumo tujue pa kwenda.



Nawasirisha.
 
wanatoa majina mwezi huu huu mwanzoni... kuanzia wiki hii au ijayo mnaweza mkaanza kupata majina
 
Back
Top Bottom