NACTE na TCU wanaitaji ushauri wako

NACTE na TCU wanaitaji ushauri wako

Donil

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
40
Reaction score
6
Taarifa niliyopewa leo na heslb juu ya wale wote ambao hawajapata taarifa juu ya mkopo kwamba wamekosa au wamepata, yaan akaunti zao hazidisplay taarifa yoyote ni kwamba admission zao hazijafika heslb kutoka NACTE, na inshu hapa ni kwamba NACTE wanadahili diploma holders lakini baada ya udahili majina wanayatuma TCU then TCU wanayatuma heslb.

Sasa mpaka sahv TCU imekaa na majina yetu haijayaforward heslb, Na kitu kilichopo hapa kati ya vyombo hivi viwili ni kwamba havina mahusiano mazuri ya kikazi, maana mtu wa diploma akienda kuulizia taarifa zake TCU watamwambia arudi NACTE lakn sio kwamba taarifa hzo hawana wanazo ila tu hawataki kusikia diploma pale.

SASA jamani mpaka sahv sisi hatujapata mikopo kisa vyombo hivi viwili, lakini pia kwa nn NACTE wasitume majina ya watu wanaowadahili moja kwa moja heslb?? vyombo hv viwili vinacheza na maisha ya watu,..sasa wadau mnashauri nn je tuwe na chombo kimoja kinachodahili wanafunzi au Nacte wawe na mamlaka kamili ya kudahili??
 
Uko vizuri sana kaka hz cjui tcu, nacte&heslb zimeshindwa kufanya kazi ipasavyo.

Hebu jiulize mtu kafanya transfer akasome MD then kumbe mkopo wake umepelekwa kwny kozi aliyochagulia awali bsc horticulture tena kwa system mbovu ile ya first come first served!
 
nilipotoka heslb moja kwa moja nimeenda mpaka NACTE, NACTE wanadai kwamba majina walishayatuma TCU tatzo ni TCU ndo hawajayatuma heslb.

Watu wa TCU walipotafutwa hawakupatikanana simu zao zilikuwa hazipokelewi, kwa hiyo NACTE Wanadai tuwe wavumilivu maana kuna fungu la hela kwa ajili ya watu wa diploma.
 
Taarifa niliyopewa leo na heslb juu ya wale wote ambao hawajapata taarifa juu ya mkopo kwamba wamekosa au wamepata,..yaan akaunti zao hazidisplay taarifa yoyote ni kwamba admission zao hazijafika heslb kutoka NACTE, na inshu hapa ni kwamba NACTE wanadahili diploma holders lakini baada ya udaili majina wanayatuma TCU then TCU wanayatuma heslb, sasa mpaka sahv TCU imekaa majina yetu haijayaforward heslb Na kitu kilichopo hapa kati ya vyombo hivi viwili ni kamba havina mahusiano mazuri ya kikazi,maana mtu wa diploma akienda kuulizia taarifa zake TCU watamwambia arudi NACTE lakn sio kwamba taarifa hzo hawana wanazo ila tu hawataki kusikia diplma pale..SASA jamani mpaka sahv sisi hatujapata mikopo kisa vyombo hivi viwili, lakini pia kwa nn NACTE wasitume majna ya watu wanaowadahili moja kwa moja heslb?? vyombo hv viwili vinacheza na maisha ya watu,..sasa wadau mnashauri nn je tuwe na chombo kimoja kinachodahili wanafunzi au Nacte wawe na mamlaka kamili ya kudahili??

ila ndugu yangu sio kwamba waliokosa mkopo ni wale wa diploma tuu. hata six leaver.

so unaposema NACTE&TCU kutoelewana ndo maana watu wamelosa mkopo inachanganya akili
vip wale walioaply moja kwa moja TCU na wamekosa mkopo tatzo lao ni nn sasa. je hapo TCU hawaelewani na nani?

Na taarifa za budget exhausted watamuandikiaje mtu na huku jna lake halipo kwao..? ambapo wanaambatanisha majna yako yote na chuo ukipochaguliwa.

Na taarifa za kukaa miaka ming baada ya diploma wanajuaje kama kweli TCU hawajatuma majina yako.
 
kuna wengine juzi waliandikiwa not secured jana hadi leo hamna status yoyote inayoonekana na waliomba kama form six wanavyosema niwa diploma tu ni uongo
 
Nimeaply chuo nimemaliza form 4 mwaka 1990 ninazo d 3 nimesoma certificate ya nursing na ukunga kwa miaka 4 na baada ya hapo diploma yA physiotherapy ya miaka 3 mitatu sasa nimeomba kuingia bachelor nikaambiwa nirudie mihani wa form 4 je ndugu nishauri nifanyeje?
 
Asante kwa Taarifa mkuu.

Nadhani ifikie sasa kuwe na Chombo kimoja tu cha kudahili ili kuondoa mkanganyiko au ikishindikana basi NACTE nao wapewe mamlaka kamili ya kudahili moja kwa moja bila kuwategemea TCU.
 
Nimeaply chuo nimemaliza form 4 mwaka 1990 ninazo d 3 nimesoma certificate ya nursing na ukunga kwa miaka 4 na baada ya hapo diploma yA physiotherapy ya miaka 3 mitatu sasa nimeomba kuingia bachelor nikaambiwa nirudie mihani wa form 4 je ndugu nishauri nifanyeje?

Tafita D moja ziwe nne
 
Kweli hawaeleweki hawa jamaa, kunadogo aliomba kusoma OPEN profile yake inaonesha SELECTED lakini kwenye batch za majina ya TCU kule OUT hakuna jina. sasa hajui kama kachaguliwa au vipi?
 
Back
Top Bottom