Taarifa niliyopewa leo na heslb juu ya wale wote ambao hawajapata taarifa juu ya mkopo kwamba wamekosa au wamepata, yaan akaunti zao hazidisplay taarifa yoyote ni kwamba admission zao hazijafika heslb kutoka NACTE, na inshu hapa ni kwamba NACTE wanadahili diploma holders lakini baada ya udahili majina wanayatuma TCU then TCU wanayatuma heslb.
Sasa mpaka sahv TCU imekaa na majina yetu haijayaforward heslb, Na kitu kilichopo hapa kati ya vyombo hivi viwili ni kwamba havina mahusiano mazuri ya kikazi, maana mtu wa diploma akienda kuulizia taarifa zake TCU watamwambia arudi NACTE lakn sio kwamba taarifa hzo hawana wanazo ila tu hawataki kusikia diploma pale.
SASA jamani mpaka sahv sisi hatujapata mikopo kisa vyombo hivi viwili, lakini pia kwa nn NACTE wasitume majina ya watu wanaowadahili moja kwa moja heslb?? vyombo hv viwili vinacheza na maisha ya watu,..sasa wadau mnashauri nn je tuwe na chombo kimoja kinachodahili wanafunzi au Nacte wawe na mamlaka kamili ya kudahili??